728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, February 2, 2016

    Kanye West: Nimeongea na Wiz jana, maongezi ya Faida.

    Baada ya ugomvi wa wiki kadhaa na marumbano kwenye mitandao, hatimae rapper Kanye West na mwenzie Wiz Khalifah inaonekana kama wamemaliza tofauti baina yao.


    Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Yeezus, ameandika ujumbe unaobainisha kuwa amezungumza na Wiz Jana, maongezi yenye faida na hakuna tena tatizo.

    Hii inakuja baada ya masaa machache, kuonekana picha ya pamoja ya Kim Kardashian na mama Sebastian Amber Rose.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Kanye West: Nimeongea na Wiz jana, maongezi ya Faida. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top