728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, February 12, 2016

    HIKI NDICHO ALICHOANDIKA MHE. PROFFESA JAY KWENYE KESI YAKE YA UCHAGUZI DHIDI YA NKYA.

    Mtumishi wenu JOSEPH LEONARD HAULE Ndiye mbunge halali wa jimbo la MIKUMI 2015-2020.




    UKWELI UNA TABIA YA KUSHINDA SIKU ZOTE!!! Ndugu zangu wote wapenda HAKI na UKWELI napenda kuwatangazia rasmi kuwa ile kesi ya kupinga matokeo yangu ya ubunge wa jimbo la Mikumi IMEFUTWA RASMI baada ya mlalamikaji JONAS E. NKYA kushindwa kulipa gharama za dhamana ya kesi sh milioni 15 ndani ya siku 14 kama alivyotakiwa na mahakama kuu.

    Hivyo basi mheshimiwa JAJI KITUTSI ameifutilia mbali na kumtaka mlalamikaji JONAS alipe na gharama zote zilizotokana na shauri hilo, Heshima kubwa sana kwa wakili Msomi sana TUNDU LISSU na Timu yake yote!!!


    NB>Mtumishi wenu JOSEPH LEONARD HAULE Ndie mbunge halali wa jimbo la MIKUMI 2015-2020, Nawaomba sana ushirikiano zaidi na zaidi ili tuweze kuijenga MIKUMI yetu tunayoitaka yenye maendeleo kwa watu wote! ASANTENI SANA... MUNGU AWABARIKI SANA! !!

    =============================================================
    TANGAZA NASI KWA VITU VIFUATAVYO; 1. Biashara / Maduka na Bidhaa / Ofisi 2. Kuuza Nyumba / Kupangisha 3. Kuuza Magari / Pikipiki 4. Kuuza Viwanja / Mashamba 5. Matangazo Mbalimbali 6. Matangazo ya Mikutano / Sherehe 7. Matangazo Shule / Course za Masomo Mbalimbali 8. Hotel /Restaurant Tunapokea matangazo  yako sasa Tangaza na TBN_MUSSANKONINGO.BLOGSPOT.COM  kukuza Bishara yako.. Wasiliana nasi Kwa simu namba 0755933877/0787260182.   Au EMAIL@MUSSABAKARINKONINGO@GMAIL.COM.




     
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HIKI NDICHO ALICHOANDIKA MHE. PROFFESA JAY KWENYE KESI YAKE YA UCHAGUZI DHIDI YA NKYA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top