728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, February 16, 2016

    Video: Mtoto akutanishwa na pacha wa Baba yake, tazama alivyochanganyikiwa.

    Hii inafurahisha kiukweli, ebu vuta picha pale ambapo unakutanishwa na pacha wa mtu wako wa karibu.


    Sasa hii imetokea kwa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri kama wa mwaka mmoja hivi.

    Video iliyowekwa katika mtandao wa Youtube, inamuonesha mtoto huyo akiwa amebebwa na baba yake huku mbele yake kukiwa na pacha wa Baba yake.

    Mtiti ukaja mtoto huyo kumtambua hasa Baba yake rasmi ni nani?? Itazame hapo chini,

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Video: Mtoto akutanishwa na pacha wa Baba yake, tazama alivyochanganyikiwa. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top