728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, February 12, 2016

    JOHN TERRY AIKANA CHELSEA MCHANA KWEUPEE!


    JOHN Terry amesema hajafanya mazungumzo na Chelsea kuhusu mkataba, licha ya kocha Guus Hiddink kusema huenda mchezaji huyo akabaki katika kikosi hicho. 


    Wiki iliyopita mchezaji huyo alisema kuwa hajapewa ofa mpya, huku mkataba wake ukiwa unamalizika mwishoni mwa msimu huu.

    Mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi dhidi ya Manchester United, amesema “Nimeweka wazi nataka kubaki hapa, japo ni ngumu timu ndio kitu muhimu zaidi na hakuna mawasiliano kati yangu na timu kwa sasa.” Terry alijiunga na timu ya vijana ya Chelsea mwaka 1995, amecheza jumla ya michezo 478 ya Ligi Kuu ya England. 

    Na kumekuwa na tetesi kwamba anaweza kwenda nchini Qatar katika timu ya Al Arab kuungana na mchezaji mwenzake wa zamani Gianfranco Zola ambaye ni kocha wa kikosi hicho.
    =======================================================

    TANGAZA NASI KWA VITU VIFUATAVYO;
    1. Biashara / Maduka na Bidhaa / Ofisi 2. Kuuza Nyumba / Kupangisha 3. Kuuza Magari / Pikipiki 4. Kuuza Viwanja / Mashamba 5. Matangazo Mbalimbali 6. Matangazo ya Mikutano / Sherehe 7. Matangazo Shule / Course za Masomo Mbalimbali 8. Hotel / Restaurat

    Tunapokea matangazo  yako sasa Tangaza na TBN_MUSSANKONINGO.BLOGSPOT.COM  kukuza Bishara yako.. Wasiliana nasi Kwa simu namba 0755933877/0787260182.   Au EMAIL@MUSSABAKARINKONINGO@GMAIL.COM.




     
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JOHN TERRY AIKANA CHELSEA MCHANA KWEUPEE! Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top