728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, February 5, 2016

    MAPYA YA AMBER ROSE NA WIZ KHALIFA KURUDIANA YAKO HAPA.

    Tetesi zinaendelea kwenye mitandao kuhusu Rappa wa Marekani Wiz Khalifa kurudiana na Mke wake walio achana mwaka 2014,hii imetokana kwa sababu ya kuonekana mara kwa mara wakionyesheana support kwenye matukio Mbalimbali.
     
    Juzi kati kwenye bifu lao kati ya Wiz Khalifa na Kanye West mwanadada Amber Rose alijitokeza kumsapoti Wiz Khalifa kati ya mabishano bayana na KanyeWest.

    Juzi pia Walionekana pamoja kwenye sherehe ya uzinduzi wa Albamu mpya ya Wiz Khalifa,huku Amber Rose akisema Anashow love na Support kwa baba wa mwanaye.

    Wiz na Amber walioana mwaka 2013 na kubahatika kupata mtoto wa kiume Sebastian.ili waliachana mwaka 2014 kwa sababu mbalimbali.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAPYA YA AMBER ROSE NA WIZ KHALIFA KURUDIANA YAKO HAPA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top