728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, February 12, 2016

    Maua Sama: sikuupenda muziki wa ‘Reggae’ nilifanya ili kumridhisha ‘Producer’.

    Msanii Chipukizi wa muziki Bongo, Maua Sama, amefunguka na kudai kuwa hakuwa akiupenda wala kuufanya muziki wa Reggae ila aliufanya kwa shinikizo la Producer wake Ima the Boy.

    Akizungumza kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm, Maua amedai muziki aliokuwa akiupenda ni RNB na si huu wa Reggae anaoufanya hivi sasa.

    “Nilikuwa nagombana na Ima The boy, sikuwa naupenda huu muziki hata, kwa hiyo alikuwa akinipush na wala sikutegemea kupata tuzo, kwa hiyo alikuwa akiniuliza kila mara umeandika tayari? namjibu bado coz nilikuwa napenda RNB zaidi” alisema.
    ==========================================================

    TANGAZA NASI KWA VITU VIFUATAVYO;
    1. Biashara / Maduka na Bidhaa / Ofisi 2. Kuuza Nyumba / Kupangisha 3. Kuuza Magari / Pikipiki 4. Kuuza Viwanja / Mashamba 5. Matangazo Mbalimbali 6. Matangazo ya Mikutano / Sherehe 7. Matangazo Shule / Course za Masomo Mbalimbali 8. Hotel / Restaurat

    Tunapokea matangazo  yako sasa Tangaza na TBN_MUSSANKONINGO.BLOGSPOT.COM  kukuza Bishara yako.. Wasiliana nasi Kwa simu namba 0755933877/0787260182.   Au EMAIL@MUSSABAKARINKONINGO@GMAIL.COM.




     
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Maua Sama: sikuupenda muziki wa ‘Reggae’ nilifanya ili kumridhisha ‘Producer’. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top