728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, February 16, 2016

    BAADA YA SAMATTA KUTOBOA, MTANZANIA MWINGINE HUYU HAPA AENDA KUPIMA ZALI MAJUU.

    MSHAMBULIAJI wa Mwadui FC, Rashid Mandawa yupo nchini Vietnam akifanya majaribioya wiki mbili katika Klabu ya Dongtam An Long FC inayoshiriki Ligi Kuu Vietnam .
    Mandawa maarufu kama Chidikidebe ameiambia BOIPLUS kuwa awali hali ya hewa ya nchini humo ilikuwa ikimsumbua lakini kwasasa ameweza kuzoea hali hiyo.

    "Mambo yanaenda vizuri na ninakaribia kurudi nchini Tanzania tatizo lililonikabili mwanzo ni hali ya hewa ila sasa nimezoea," alisema Mandawa

    Endapo Mandawa atafanikiwa kwenye majaribio hayo atakuwa mchezaji wa tatu akiwemo Nizar Khalfan na Danny Mrwanda ambao waliwahi kuichezea Al Tadoon ya nchini humo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BAADA YA SAMATTA KUTOBOA, MTANZANIA MWINGINE HUYU HAPA AENDA KUPIMA ZALI MAJUU. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top