728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, February 16, 2016

    MwanaFa:Tusipoteza Misingi ya Muziki wetu kisa Pesa

    Msanii wa mkongwe wa muziki wa rap nchini mwanaFa amewaasa wasanii kutoharibu misingi ya muziki kwa kisingizio cha kufanya biashara.

    Akiongea kwenye moja ya mahojiano msanii huyo amesema kuwa”.. ile misingi imebadilika sana,na vitu vingi ambavyo vilikuwa vinapingwa vilionekana vya kipumbavu mwanzoni huko,sasas hivi ndio kama mtindo,watu wanafanya watakavyo kwa sababu wanataka kutengeneza pesa tu” rapa huyo anayetamba na wimbo wake wa asanteni kwa kuja.

    rapa huyo aliongeza kuwa hakatai kuufanya muziki kama biashara ila anachopinga ni kupoteza misingi kwa ajili ya
    kutengeza pesa.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MwanaFa:Tusipoteza Misingi ya Muziki wetu kisa Pesa Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top