728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, February 12, 2016

    DIMITRI PAYET AIPOTEZEA MANCHESTER CITY NA KUSAINI MKATABA MPYA WEST HAM.


    Mshambuliaji wa West Ham Dimitri Payet amesaini mkataba mpya wenye thamni ya pauni milioni 35 ambao ni mnono katika historia ya klabu hiyo. 



    Hatua hiyo inapeperusha njozi za Manchester City iliyotajwa kuwania saini ya mshambuliaji huyo anayeaminika kulivutia jicho la kocha ajaye Etihad Stadium Pep Guardiola.

    Mchanganuo wa dili lake unaonyesha atalipwa mshahara wa wa pauni 68,000 kwa wiki, pauni 25,000 kwa wiki kutokana na uwepo wake dimbani pamoja na pauni milioni 1 kama dau la kusaini mkataba mpya ambapo pamoja na bakshishi zingine, nyota huyo kimahesabu ataweka mfukoni pauni 125,ooo kila wiki.

    Payet amejitia kitanzi cha miaka mitano na nusu katika mkataba utakaomwingizia pauni 125,000 kwa wiki. 





    =====================================================================================


    TANGAZA NASI KWA VITU VIFUATAVYO;
    1. Biashara / Maduka na Bidhaa / Ofisi 2. Kuuza Nyumba / Kupangisha 3. Kuuza Magari / Pikipiki 4. Kuuza Viwanja / Mashamba 5. Matangazo Mbalimbali 6. Matangazo ya Mikutano / Sherehe 7. Matangazo Shule / Course za Masomo Mbalimbali 8. Hotel / Restaurat

    Tunapokea matangazo  yako sasa Tangaza na TBN_MUSSANKONINGO.BLOGSPOT.COM  kukuza Bishara yako.. Wasiliana nasi Kwa simu namba 0755933877/0787260182.   Au EMAIL@MUSSABAKARINKONINGO@GMAIL.COM.





    Mshambuliaji wa West Ham Dimitri Payet amesaini mkataba mpya wenye thamni ya pauni milioni 35 ambao ni mnono katika historia ya klabu hiyo. Hatua hiyo inapeperusha njozi za Manchester City iliyotajwa kuwania saini ya mshambuliaji huyo anayeaminika kulivutia jicho la kocha ajaye Etihad Stadium Pep Guardiola. Payet amejitia kitanzi cha miaka mitano na nusu katika mkataba utakaomwingizia pauni 125,000 kwa wiki. Mchanganuo wa dili lake unaonyesha atalipwa mshahara wa wa pauni 68,000 kwa wiki, pauni 25,000 kwa wiki kutokana na uwepo wake dimbani pamoja na pauni milioni 1 kama dau la kusaini mkataba mpya ambapo pamoja na bakshishi zingine, nyota huyo kimahesabu ataweka mfukoni pauni 125,ooo kila wiki.

    Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2016/02/dimitri-payet-aipotezea-manchester-city.html
    Copyright © saluti5
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: DIMITRI PAYET AIPOTEZEA MANCHESTER CITY NA KUSAINI MKATABA MPYA WEST HAM. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top