728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, February 2, 2016

    CHRIS BROWN HATARINI KUCHUKULIWA MWANAE.

    Mama wa mtoto wa Chris Brown, Nia Guzman, amedai mtoto wake kutoka kwa msanii huyo kwa madai kwamba anamtesa na moshi wa sigara unaomsababishia ugonjwa wa pumu.

    Mtoto huyo mwenye umri wa mwaka mmoja (Royalty), anaishi na baba yake, lakini mama wa mtoto huyo amedai kwamba mwanawe anateseka na ugonjwa wa pumu ambao unasababishwa na moshi wa sigara.
    “Ninamuonea huruma mwanangu, mara ya mwisho kukutana naye nilishangaa sana baada ya kuhisi harufu ya moshi wa sigara.

    “Hata hivyo, mbali na moshi wa sigara, pia kwa sasa ana matatizo ya pumu inayotokana na moshi huo, hivyo ninahitaji kuwa na mwanangu nimlee mwenyewe,” alisema Guzman.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: CHRIS BROWN HATARINI KUCHUKULIWA MWANAE. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top