728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, February 6, 2016

    DANNY WELBECK AGONGA SAA NZIMA ARSENAL IKICHAPA MTU 4-1.(Picha)

    Mshambuliaji Danny Welbeck akiichezea timu ya vijana ya Arsenal chini ya umri wa miaka 21 dhidi ya Brighton Uwanja wa Colney, London. 
    Welbeck anayepambana kurudi uwanjani baada ya kuwa nje kwa mua mrefu akisumbuliwa na maumivu ya goti alicheza kwa saa moja U-21 ya Arsenal ikishinda 4-1, mabao yake yakifungwa na Reiss Nelson, Krystian Bielik, Stephy Mavididi na Ismael Bennacer

     Tizama picha zaidi hapo chini.






    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: DANNY WELBECK AGONGA SAA NZIMA ARSENAL IKICHAPA MTU 4-1.(Picha) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top