728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, September 1, 2015

    UNAKARIBISHWA KUCHEKI NA MATUKIO YA VICHEKESHO NA MIZAHA VINAVYOFANYWA UWANJANI BEST (VIDEO).

    Ni kawaida sana hususa katika mpira wa miguu kuweza kushuhidia matukio mbalimbali ya kushangaza yanayooneshwa uwanjani hasa na wachezaji wa mpira wa miguu best wangu kiukweli huwa inafurahisha sana pale ambapo timu yako tayari inaongoza na wachezaji wako wanaonesha mzaha wa kiburudani uwanjani sasa best leo nomekuwekea hapa matukio ya  mzaha uwanjani kutoka kwa wachezaji mbalimbali chukua muda kutizama hapa best wa  ukweli ndugu.

    TAZAMA VIDEO HAPA CHINI....! 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: UNAKARIBISHWA KUCHEKI NA MATUKIO YA VICHEKESHO NA MIZAHA VINAVYOFANYWA UWANJANI BEST (VIDEO). Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top