728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, September 13, 2015

    TAYARI NIMEIPATA MIXING YA HATARI KUTOKA KWA MKALI WA KUFUKUZA MAPEPO #DJALB NYANI KUTOKA (89.5) CG FM RADIO TABORA ISIKILIZE HAPA (AUDIO)


    NI deejay mwenye uwezo mkubwa sana mkoani TABORA baadhi ya wasikilizaji wanamkubali kwa upangiliaji wa nyimbo  na  skillz  zake za hatari ni mwajiliwa katika  kituo cha CG fm radio 89.5 kilichopo mkoani tabora  ni mkali wa kufukuza mapepo kiukweli chukua time yako kisikiliza Non stop mixing ambayo ameifanya katika show la kibabe la Magic style yenye urefu wa dakika ishirini na tatu,chukua time kumfanya awe mshikaji wako  kupitia facebook Twetter na instagram kwa jina la DJALB NYANI.
    The best dj in town



    Bofya play kuisikiliza best wa ukweli.....
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TAYARI NIMEIPATA MIXING YA HATARI KUTOKA KWA MKALI WA KUFUKUZA MAPEPO #DJALB NYANI KUTOKA (89.5) CG FM RADIO TABORA ISIKILIZE HAPA (AUDIO) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top