728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, September 1, 2015

    NAKULETA KARIBU NA PICHA ZA UWANJA WA KLABU YA CHELSEA UTAKAO KAMILIKA MWAKA 2020

    Tazama kwa umakini kabisa huu ndio mpango wa bosi wa  klabu ya chelsea yenye makao yake jijini london nchini uingereza sasa anampango wa kufanya ujenzi wa uwanja wake unaotarajiwa kukamilika mwaka 2020.
    kwa sasa klabu hiyo bado ipo kwenye mazungumzo na wakazi wanaoishi  maeneo utakapo jengwa uwanja huo .
    Mmiliki wa klabu ya chelsea Roman Abrahovich anampango wa kutumia zaidi ya poundi za wingereza millioni 500 katika kukamilisha ujenzi wa uwanja huo mbali na kutumika kama kiwanja cha michezo Abrahamovich anataka utumike katika mipango tofauti ya kibiashara.
    ujenzi huo unatarajiwa kuanza miezi tisa kutoka sasa na klabu ya chelsea inatarajia kuhama kutoka stamford bridge kwenda katika uwanja wa wembley ambapo itatumia hapo katika kipindi cha misimu mitatu
    Cheki na picha ...







    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: NAKULETA KARIBU NA PICHA ZA UWANJA WA KLABU YA CHELSEA UTAKAO KAMILIKA MWAKA 2020 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top