728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, September 5, 2015

    STAA WA BONGO MUVI, DAVINA ATAMBA; "HAKUNA KAMA MIMI"


    STAA wa kike wa filamu Bongo, Halima Yahya ‘Davina’ amedai kuwa, kumudu vilivyo kubadilika katika kila uhusika anaopangiwa kwenye muvi, ni kati ya mambo yanayomfanya awaache mbali mastaa wenzake wengine.  Kwa mujibu wa Saluti5, Davina aliyeanza sanaa mwaka 2002 kwenye kundi la Kaole, alisema kuwa wasanii wengi wamekuwa si wepesi wa kubadilika kulingana na uhusika wanazopangiwa, kama ilivyo kwa upande wake.  “Tuko wachache sana tunaoweza kuitendea haki kila uhusika tunayopangiwa, lakini binafsi naweza kuwa namba moja, ambaye ukinipanga kucheza kama kahaba naweza, chizi, tajiri na vyovyote vingine,” anasema Davina.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: STAA WA BONGO MUVI, DAVINA ATAMBA; "HAKUNA KAMA MIMI" Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top