728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, September 17, 2015

    Watu watatu wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali mkoani Geita.

    Watu watatu wamefariki dunia na wengine zaidi ya hamsini kujeruhiwa katika ajali ya basi Scania lenye namba za usajili T138 AVD, mali ya kampuni ya Sheraton.

    Ajali hiyo imetokea jana majira ya saa tatu asubuhi, ambapo gari hilo lilikuwa linatokea Masumbwe wilayani Mbogwe mkoani Geita kuelekea Mwanza.

    Kamanda wa pilisi mkoa wa Geita SACP Joseph Konyo amesema jeshi la polisi linaendelea kufuatilia chanzo cha ajali hiyo na pia amewaomba wamiliki wa vyombo vya usafiri wa abiria kuhakikisha wanavifanyia uchunguzi wa mara kwa mara na kuhakikisha usalama wa wasafiri kwa wanaotumia vyombo hivyo.
    edwinmoshi.blogspot.com

    - See more at: http://www.edwinmoshi.blogspot.com/2015/09/watu-watatu-wamefariki-dunia-na-wengine.html#sthash.kB2cZ4wN.dpuf

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Watu watatu wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali mkoani Geita. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top