728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, September 13, 2015

    UNAKARIBISHWA KUCHEKI NA HII MPYA KUTOKA KWA JIMMY YEYO SALMO -LAY LOW .(AUDIO).


    Tayari ninayo ngoma mpya kutoka kwa msanii JIMY YEYO akimshirikisha SALMO   ni bonge moja la ngoma best inayokwenda kwa jina la LAY LOW imetengenezwa na producer UNCREAKABLE katika studio za Muviling PRODUCTION    best wangu kama wewe ni mmoja ya wanfamilia wa muziki wa hip hop chukua muda wako kuisikiliza hapa best lakini pia unayofursa ya kuweza kuipakua na ukasikiliza kwa muda wako pia.

    Bofya play kuisikiliz ngoma hiyo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: UNAKARIBISHWA KUCHEKI NA HII MPYA KUTOKA KWA JIMMY YEYO SALMO -LAY LOW .(AUDIO). Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top