728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, September 10, 2015

    "Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya kisa nimeongea Ukweli" asema ROMA.(AUDIO)





    Saa chache baada ya wimbo mpya wa Roma ‘Viva Roma viva’ kutoka September 9, rapper huyo amedai kuwa ametishiwa wimbo huo kufungiwa.

    Kupitia Instagram, majira ya saa mbili usiku Roma aliandika; “WANATAKA KUIFUNGIA NYIMBO YANGU!! KISA TU NIMEONGEA UKWELI!! INANIUMA SANA NATAMANI HATA KULIA NIKIONA UKWELI HAUPEWI NAFASI!! NIOMBEENI NA MNIKUMBUKE KWENYE SALA ZENU NDUGU ZANGU!! Viva Roma viva” 

                                                                                        sababu kubwa ya wimbo huo  kufungiwa, ni kutokana na ukali wa maneno yaliyotumika ndani yake juhudi za kumtafuta  Roma ili kuweza kuzungumza naye juu ya hili ziligonga mwamba baada ya simu yake kutopatikana nilipomtafuta kwaajili ya kuzungumza nae.

    BOFYA PLAY KUSIKILIZA...

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: "Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya kisa nimeongea Ukweli" asema ROMA.(AUDIO) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top