728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, September 10, 2015

    TAYARI NINAYO ORODHA YA FIFA YA WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU KUMI WENYE KASI ZAIDI UWANJANI BEST WANGU (PIChAZ).

    Kama kawaida naamini wewe ni mmojawa  mshabiki wa ukweli wa mpira wa miguu best kama ulikuwa hufahamu orodha ya wachezaji wenye kasi zaidi uwanjani leo nakuletea hapa best.

    Tunaamini kuwa kasi ni moja ya chagizo kubwa ambalo linaweza changia  kubadilisha mwenendo wa mchezo na kuleta  ushindi pale ambapo timu inatafuta ushindi na vilevile kasi ya mchezaji mmoja au timu kwa jumla pindi  wawapo uwanjani inaweza kusaidia kubadilisha  matokeo muda wowote.

    wengi tunaamini mmoja ya wachezaji ambao wanakasi kubwa zaidi uwanjani ni winga wa Real madrid GALETH BALE kutokana naa orodha ya fifa iliyotolewa leo inamuonesha winga wa klabu ya Arsenal Theo walcot ndiye amekamata nafasi ya kwanza kwa wachezaji wenye kasi zaidi uwanjani.

    Sitaki nikuchoshe best wangu chukua  muda wako kusoma
    hapa orodha ya wachezaji kumi wenye kasi zaidi uwanjani.
     
     10.Maicon (LINORVO FC).

     9.SALIF DIANDA(TERNANA FC)

    8.ERNEST ASANTE (STABAEK FC)

    7.JURGEN DAMM(TIGRESU ANL).


    6.PIERRE EMERICK AUBAMEYANG(BORUSIA DOUTMOND).

    5.VICTOR IBARBO(WAMATFORD).

    4.WILLIAMS(AHTLETIC CLUB DE BILBAO).
    3.GARETH BALLE(REAL MADRID).

    2.MATHIS BOLLY(FORTUNA DUSSELDORF).

    1.THEO WALCOT (ARSENAL).

    Hakuna hata mmoja ambaye alitabiri kama walcot atuja kuwa wa kwanza  walcot ama hakika Balle anakazi ya ziada kuhakikisha anampokonya Theo nafasi ya kwanza tusubiri mengi makubwa kutoka kwa walcot hii ni furaha zaidi mkwa mashabiki wa arsenal na England kwa ujumla Hongera sana walcot.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TAYARI NINAYO ORODHA YA FIFA YA WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU KUMI WENYE KASI ZAIDI UWANJANI BEST WANGU (PIChAZ). Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top