728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, September 13, 2015

    LIVERPOOL SASA YAPATA AHUENI, STURRIDGE AANZA KUPASHA TARATIBU.

    MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Daniel Sturridge amerejea mazoezini kufuatia kufanyiwa upasuaji wa paja Mei mwaka huu. Sturridge mwenye umri wa miaka 26 hatacheza toka mzunguko wa sita wa Kombe la FA ambao Liverpool waliifunga Blackburn Rovers Aprili 8 mwaka huu na muda mwingi wa kiangazi aliutumia nchini Marekani alipokuwa akipatiwa matibabu. Hata hivyo, pamoja na kuanza mazoezi kuna hatihati kama atakuwa fiti kwa ajili ya mchezo dhidi ya Manchester United Jumamosi hii. Nyota huyo wa kimataifa wa Uingereza aliitumikia mechi 18 pekee Liverpool msimu uliopita na kufunga mabao matano. Msimu wa 2013-2014 alifunga mabao 24 katika mechi 33 alizoichezea Liverpool na kuisaidia kumaliza katika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi.

    Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: LIVERPOOL SASA YAPATA AHUENI, STURRIDGE AANZA KUPASHA TARATIBU. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top