728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, April 27, 2016

    MAKUBWA KUTOKA KWA DAVINA WA BONGO MOVIE KWA WAIGIZAJI WANZAKE YAKO HAPA.

    Davina Amesema kwamba maisha ya sasa yako juu hivyo sio rahisi kutegemea kuuza filamu na kumudu gharama za maisha bila kuwa na biashara nyingine ya ziada. 

    Msanii huyo amesema kuwa baada ya kubaini filamu zimeshuka soko, aliamua kujikita kwenye biashara ya kuuza ngua za kike na bidhaa nyingine ambayo anaendelea nayo hadi sasa.

    “Sio siri, maisha ni magumu ndio maana ninawashauri wasanii wenzangu waache kutegemea kitu kimoja tu, ni lazima wajishughulishe na biashara nyingine za ziada,” alisema Davina.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAKUBWA KUTOKA KWA DAVINA WA BONGO MOVIE KWA WAIGIZAJI WANZAKE YAKO HAPA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top