728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, April 19, 2016

    Mechi hizi nne kuamua nani bingwa wa EPL msimu huu.

    Zikiwa zimesalia mechi nne kabla ya msimu kumalizika,mchuano wa kuwania ubigwa wa ligi kuu ya Uingereza E.P.L unazidi kushika kasi  kwani kabla ya msimu kumalizika Club ya Totternham Hotspour jana ilifanikiwa kuisogelea kileleni Leceister City baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Soke City uliowafanya kufikisha ponti 68,dhidi ya 73 za Leceister City.

    Timu hizo zimebakiwa na mechi mbili ugenini na mbili nyumbani kwa kila timu. Je unadhani nani anaweza kuchukua Ubigwa wa ligi hii yenye mashabiki wengi duniani?

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Mechi hizi nne kuamua nani bingwa wa EPL msimu huu. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top