728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, April 18, 2016

    KANYE WEST NA JAY Z WASHTAKIWA KUHUSU TIDAL KESI YENYEWE ITAKUACHA MDOMO WAZI.



    Shabiki aitwaye Justin Baker-Rhett anamshtaki Kanye West, kampuni ya Jay Z, S.Carter Enterprises, na TIDAL kwa kuahidi kuwa albamu ya Kanye West, The Life of Pablo, ingepatikana kwenye mtandao wa Tidal tu.


    February mwaka huu, Kanye alitangaza:


    Ahadi hiyo imevunjwa hivi karibuni kwa sababu TLOP inapatikana kwenye mitandao mingine mikubwa.


    My album will never never never be on Apple. And it will never be for sale… You can only get it on Tidal.


    Kwa mujibu wa Rhett, uongo huo ulifanyika ili kuipa kiki Tidal iliyokuwa ikipumulia mashine. Albamu hiyo iliongeza watumiaji wa mtandao huo maradufu. Kanye ni miongoni mwa wamiliki wa Tidal, pamoja na Jay Z, Beyoncé, Madonna, Rihanna, J. Cole, na Nicki Minaj.


    Rhett anataka alipwe fidia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KANYE WEST NA JAY Z WASHTAKIWA KUHUSU TIDAL KESI YENYEWE ITAKUACHA MDOMO WAZI. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top