728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, April 18, 2016

    KUTANA NA OFFICIAL MIXTAPE YA RAGGA DANCEHALL VOL 1 YA DEEJAY GADY KUTOKA METRO FM 99.4(Audio).

    Kutana na Deejay Gady mkali wa kufukuza mapepo kutoka 99.4 Metro  fm Mwanza  uwezo wake huwa unasikika kila siku za Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia show ya kijanja Hapa Town  JAM SESSION kuanzia saa saba mchana mpaka kumi kamili jioni.

    Leo nakukutanisha na moja ya Mixtape yake aliyoifanya inayojulikana kama RAGGA DANCEHALL VOL.1 Ungana naye kupitia mitandao ya kijamii Facebook@deejaygody careen master @Hulkshare www.hulkshare.com/deejaygody ili uweze kuenjoy na vitu vizuri kutoka kwa mkali huyu wa kufukuza mapepo ya kiburudani.

    Unaweza kudownload na kusikiliza hapa chini............



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KUTANA NA OFFICIAL MIXTAPE YA RAGGA DANCEHALL VOL 1 YA DEEJAY GADY KUTOKA METRO FM 99.4(Audio). Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top