728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 14, 2016

    TASWIRA; KOBE BRAYANT ALIVYOSTAAFU RASMI, JAY Z, DAVID BECKHAM, MASTAA KIBAO WAHUDHURIA(PICHA)


    Hakuna refu lisilokuwa na ncha. Mcheza kikapu maarufu wa Marekani, Kobe Bryant amestaafu nyota huyo wa LA Lakers amestaafu na kuagwa na mashabiki kibao wakiwemo nyota wa muziki kama Jay Z, soka wakiongozwa na David Beckham na kikapu wakiongozwa na Magic Johnson.

    Katika siku ya kuagwa, Kobe aliyecheza kwenye NBA kwa miaka 20 aliingoza Lakers kushinda kwa pointi 101-96 dhidi ya Utah Jazz huku yeye akifunga pointi 60 na kuweka rekodi ya aina yake.

    Picha zaidi.

















     
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TASWIRA; KOBE BRAYANT ALIVYOSTAAFU RASMI, JAY Z, DAVID BECKHAM, MASTAA KIBAO WAHUDHURIA(PICHA) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top