728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 28, 2016

    Tayari drake ametoa list ya tracks ambazo zipo kwenye album yake mpya.

    Kupitia akaunti ya twitter ya rapper Drake amewapa mashabiki wake list nzima ya track zitakazopatikana kwenye album yake mpya ya “Views”

    Drake ameorodhesha nyimbo ishirini bila kuwepo kwa collabo yetote, hii haimanishi kwamba hakuna sauti za wanamuziki wengine kwenye album hiyo coz tayari alishaachia two singles kutoka kwenye album hiyo,”Pop Style” aliwashirikisha Kanye West & Jay Z na “One Dance”aliyowashirikisha Kyla na Star Boy Wizkid,huku hit yake ya “Hotline Bling” ikijumuishwa kama bonus track.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Tayari drake ametoa list ya tracks ambazo zipo kwenye album yake mpya. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top