728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, April 27, 2016

    ATLETICO MADRID YAANZA VYEMA NUSU FAINALI KWA KUICHAPA BAYERN LAKINI SAFARI BADO WANAYO.

    Pep Guardiola ana kazi nzito ya kuutumia vema mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ili kuepukana na nuksi ya kukomea nusu fainali tangu alipoanza kuikochi Bayern Munich. 
     
    Kibarua hicho kigumu kinakuja baada ya Bayern kupokea kisago cha bao 1-0 kutoka kwa Atletico Madrid katika wa mchezo wao kwanza Jumatano usiku. 
     
    Hii ni mara ya tatu mfululizo kwa Guardiola kutinga hatua ya nusu fainali akiwa na Bayern Munich ambapo mara mbili zilozopita, alikomea hatua hiyo ya nusu fainali. 
     
    Timu hizo zinarudiana Ujerumani Jumanne ijayo katika mchezo unaotarajiwa kuwa mgumu kupindukia. Bao pekee la Atletico lilifungwa na Saul Niguez kunako dakika ya 11.
     




     
    Pep Guardiola ana kazi nzito ya kuutumia vema mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ili kuepukana na nuksi ya kukomea nusu fainali tangu alipoanza kuikochi Bayern Munich. Kibarua hicho kigumu kinakuja baada ya Bayern kupokea kisago cha bao 1-0 kutoka kwa Atletico Madrid katika wa mchezo wao kwanza Jumatano usiku. Hii ni mara ya tatu mfululizo kwa Guardiola kutinga hatua ya nusu fainali akiwa na Bayern Munich ambapo mara mbili zilozopita, alikomea hatua hiyo ya nusu fainali. Timu hizo zinarudiana Ujerumani Jumanne ijayo katika mchezo unaotarajiwa kuwa mgumu kupindukia. Bao pekee la Atletico lilifungwa na Saul Niguez kunako dakika ya 11.

    Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2016/04/atletico-madrid-yaanza-vema-nusu.html
    Copyright © saluti5
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ATLETICO MADRID YAANZA VYEMA NUSU FAINALI KWA KUICHAPA BAYERN LAKINI SAFARI BADO WANAYO. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top