728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 28, 2016

    Hii ni List ya mashirika yaliyoongoza kuitia serikali hasara 2014 – 2015..

    Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) aliyoikabidhi kwa Rais Dkt John Magufuli juzi Aprili 25, 2015 inaonyesha kwamba mashirika 19 ya serikali yameongoza katika kuisababishia serikali hasara. 

    Baadhi ya mashirika hayo ni Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), TTCL, TAZARA, DAWASCO na Benki ya Twiga.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Hii ni List ya mashirika yaliyoongoza kuitia serikali hasara 2014 – 2015.. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top