728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, April 22, 2016

    Kikosi bora cha mwaka cha wachezaji Wakulipwa kimetoka orodha yake ninayo hapa.

    Timu za Leicester City na Tottenham imetoa wachezaji wanane katika kikosi cha mwaka cha wachezaji bora wa wa kulipiwa (PFA) wa Ligi Kuu ya England.

    Kila timu ikiwa imetoa wachezaji wanne wa kikosi hicho bora cha msimu huu.


    Washambuliaji Jamie Vardy na Harry Kane kuu ndio wanaongoza safu ya mashambulizi ya kikosi hicho.
    Kiungo wa Kijerumani Mesut Ozil ambaye anawania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa chama cha wanasoka wa kulipwa PFA hayumo kwenye kikosi hicho.


    PFA walikuwa wakitangaze kikosi hicho siku ya Jumapili ijayo katika sherehe za utoaji tuzo lakini kwa sababu ya siri za kikosi kuvuja ikawabidi chama hicho kutangaza mapema kabla ya siku waliyopanga.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Kikosi bora cha mwaka cha wachezaji Wakulipwa kimetoka orodha yake ninayo hapa. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top