728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 14, 2016

    Rais Magufuli ametengua tena uteuzi wa mtendaji mwingine wa Serikali.


    April 14 2016 imetolewa taarifa kutoka Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi ikieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mhariri mtendaji  wa magazeti ya serikali ‘TSN’, Gabriel Nderumaki.

    Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia March 18 2016, kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua Tuma Abdallah kukaimu nafasi hiyo ambapo Tuma Abdallah ni Mhariri Mtendaji Msaidizi wa Magazeti ya Serikali ‘TSN’.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Rais Magufuli ametengua tena uteuzi wa mtendaji mwingine wa Serikali. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top