728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 28, 2016

    Kauli ya Guardiola kwa watu wanaomlinganisha Saul wa Atletico na Messi hii hapa.


    Kocha wa timu ya Bayern Munich, Pep Guardiola ameonya watu walioanza kumlinganisha Saul Niguez na Messi.

    Saul jana usiku aliifungia Atletico Madrid goli pekee ambalo liliifanya timu hiyo kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bayern waliokuwa ugenini kwenye uwanja wa Vicente Calderon.

    Baada ya mechi hiyo Guardiola alisema, “Binafsi simjui vizuri, lakini naheshimu ubora alio nao Saul. Lakini itakuwa vema kwake kutomlinganisha na Messi. Alichofanya Saul kinaweza kutokea.”

    Guardiola alisema timu yake ilihitaji walau goli hata moja lakini bado wananafasi nyingine ya kutetea nafasi yao ya kucheza fainali ya Uefa kwenye mchezo wa marudiano utakao fanyika wiki ijayo kwenye uwanja wa Allianz Arena.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Kauli ya Guardiola kwa watu wanaomlinganisha Saul wa Atletico na Messi hii hapa. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top