728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 14, 2016

    Joh Makini:Ubunifu ndio mpango mzima kwenye sanaa.





    Mkali wa “Don’t Bother” Joh Makini amewataka wasanii waongeze bidii na kuwa wabunifu kwenye kazi zao ili waweze kufikia mafanikio badala ya kuridhika na hali waliyonayo sasa.

    Alisema kuwa na ubunifu tofauti ndiyo siri kubwa ambayo imelisaidia kundi lao la Weusi kuendelea kufanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya na wanawataka wasanii wengine kuiga mfano huo.

    ”Tuongeze bidii na tuwe wabunifu kila kukicha ili kuliteka soko,” alisema Joh Makini.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Joh Makini:Ubunifu ndio mpango mzima kwenye sanaa. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top