728x90 AdSpace

Thursday, May 19, 2016

China Imekanusha kuuza ‘Nyama za Binadamu’ Afrika.


Balozi wa China nchini Zambia Yang Youming, amekanusha taarifa zilizoandikwa na kuripotiwa kwenye vyombo vya habari nchini humo kuwa China inauza na kusambaza nyama za binadamu barani Afrika.

Ripoti na taarifa ya awali iliyolipotiwa na vyombo vya habari, inamnukuu mwanamke mmoja Raia wa Zambia aishie nchini China akiwatahadharisha Raia wengine wa Kiafrika kuwa makini na Nyama wanazonunua kama chakula kutoka nchini China.

Mwanamke huyo amenukuliwa akiwataka watu kuacha kununua nyama za kopo zinazopakiwa nchini China.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: China Imekanusha kuuza ‘Nyama za Binadamu’ Afrika. Rating: 5 Reviewed By: Unknown