Thursday, May 26, 2016
KUMEKUA na maneno mengi mtaani kwamba
baada ya albam ya Beyonce ‘Lemonade’ kuachiwa na ikawa kama ina maelezo
ya kumchana mume wake kwa suala la kutokua muaminifu kwenye ndoa, pia
zikatoka taarifa kwamba Jay Z naye anakuja na albam yenye majibu juu ya
Lemonade.
Sasa kama ulikua unasubiria hilo umefeli, issue ni kwamba
wanandoa hawa wanatarajiwa kutoka na albam ya pamoja hivi karibuni!
Page Six wameripoti kuwa Bey na Jay!
Wamekamilisha albam yao na soon itaachiwa kupitia mtandao wa Tidal ambao
unamilikiwa na wasanii hao pia.
Wapenzi hawa wanaotajwa kuwa na ndoa
inayowaingizia mkwanja mrefu zaidi kwasasa, wameripotiwa kurekodi albam
hiyo kwa siri sana kwa lengo la kuiachia mwezi huu au mwezi ujao mapema.
Related Posts
Donny Roberty Mshindi Miss Mwanza 2016 Tazama Picha hapa chini.
Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,20...
MAONESHO YA BIASHARA ROCK CITY MALL MWANZA.
Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda n...
TFF Yatoa Angalizo Kwenye Msimu Mpya Wa VPL 16-17.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuan...
Sumatra Imesema hakuna usafiri utakaositishwa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imewatoa hofu ...
Hesabu inaendelea Ibra aweka mbili Nyumbani (VIDEO).
Endeleeni kuhesabu, ndiyo lugha rahisi unayoweza kuitumia baada...
Mambo 8 Yatakayokusaidia Kufikia Malengo Yako.
Kila wakati wengi wetu katika maisha, ni watu wa kujiwekea malengo....
Mkurugenzi Atishia Kuitisha Daftari la Mahudhurio saa tisa Usiku sababu Je?
Normal 0 false false false EN-U...
Gwajima atiwa Nguvuni na Polisi Dar, Imekuaje?
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata ...
Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza.
Katika saa au siku kadhaa zijazo, Waziri wa maswala ya nda...
ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeen...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment