728x90 AdSpace

Saturday, May 28, 2016

IMEKAMILIKA TAYARI ITAZAME HAPA 'CHAFU POZI' YA BILL NAS VIDEO.


Msanii anaye fanya vizuri kwasasa katika mziki wa hip hop hapa Bongo Bilnass, baada ya kufanya vizuri na single ya “Ligi Ndogo” ameachia video yake mpya ya wimbo wa “Chafu Pozi” iliyofanyika South Africa, Video imeongozwa na Msafiri Shabani wa kampuni ya Kwetu Studio.

Itazame Hapa chini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: IMEKAMILIKA TAYARI ITAZAME HAPA 'CHAFU POZI' YA BILL NAS VIDEO. Rating: 5 Reviewed By: Unknown