Thursday, May 12, 2016
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limewateua waamuzi wanne kuchezesha
mchezo Na. 27 kati ya Ethiopia dhidi ya Ghana kuwania kufuzu fainali za
Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana 2017 utakaofanyika Uwanja wa Addis
Ababa (Gazon Nature), jijini Addis Ababa huko Ethiopia.
Mchezo huo utaochezwa Mei 22, 2016 majira ya saa 10.00 jioni kwa saa
za Ethiopia, utaamualiwa na Mfaume Ali Nassoro ayesimama katikati wakati
walioteuliwa kuwa waamuzi wa pembeni ni Josephat Deu Bulali (line 1) na
Alli Kinduli na mezani atakuwa Martin Eliphas Sanya. Kamishina wa
mchezo huo kwa mujibu wa CAF ni Julius Elly Mukolwe kutoka Kenya.
Related Posts
Donny Roberty Mshindi Miss Mwanza 2016 Tazama Picha hapa chini.
Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,20...
MAONESHO YA BIASHARA ROCK CITY MALL MWANZA.
Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda n...
TFF Yatoa Angalizo Kwenye Msimu Mpya Wa VPL 16-17.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuan...
Sumatra Imesema hakuna usafiri utakaositishwa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imewatoa hofu ...
Hesabu inaendelea Ibra aweka mbili Nyumbani (VIDEO).
Endeleeni kuhesabu, ndiyo lugha rahisi unayoweza kuitumia baada...
Mambo 8 Yatakayokusaidia Kufikia Malengo Yako.
Kila wakati wengi wetu katika maisha, ni watu wa kujiwekea malengo....
Mkurugenzi Atishia Kuitisha Daftari la Mahudhurio saa tisa Usiku sababu Je?
Normal 0 false false false EN-U...
Gwajima atiwa Nguvuni na Polisi Dar, Imekuaje?
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata ...
Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza.
Katika saa au siku kadhaa zijazo, Waziri wa maswala ya nda...
ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeen...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment