Friday, May 20, 2016
Stori kubwa ambayo imeingia kwenye
headlines jioni ya May 20 2016 lakini pia inatarajiwa ndio itakaa katika
kurasa za mbele za magazeti ya kesho May 21 2016, ni kuhusu uamuzi wa
Rais Magufuli kumfuta kazi aliyekuwa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga kutokana na kuingia bungeni akiwa amelewa.
Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ametumia ukurasa wake wa facebook kuandika mtazamo wake baada ya Rais Magufuli kufanya maamuzi hayo ya kumfuta kazi waziri Kitwanga.
“Uamuzi
wa Rais kumfukuza kazi Waziri wa Mambo ya Ndani unatuma ujumbe mmoja –
hataki mchezo. Rais amethibitisha kuwa anao uwezo wa kutumbua hata
aliowateua. Ni maamuzi muhimu sana kwa Kiongozi wa aina yake. Wale
vijana waliokuwa wanatumwa kumtetea wasimame kumtetea. Rais kaonyesha
Uongozi ‘ no nonsense “
Related Posts
Donny Roberty Mshindi Miss Mwanza 2016 Tazama Picha hapa chini.
Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,20...
MAONESHO YA BIASHARA ROCK CITY MALL MWANZA.
Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda n...
TFF Yatoa Angalizo Kwenye Msimu Mpya Wa VPL 16-17.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuan...
Sumatra Imesema hakuna usafiri utakaositishwa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imewatoa hofu ...
Hesabu inaendelea Ibra aweka mbili Nyumbani (VIDEO).
Endeleeni kuhesabu, ndiyo lugha rahisi unayoweza kuitumia baada...
Mambo 8 Yatakayokusaidia Kufikia Malengo Yako.
Kila wakati wengi wetu katika maisha, ni watu wa kujiwekea malengo....
Mkurugenzi Atishia Kuitisha Daftari la Mahudhurio saa tisa Usiku sababu Je?
Normal 0 false false false EN-U...
Gwajima atiwa Nguvuni na Polisi Dar, Imekuaje?
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata ...
Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza.
Katika saa au siku kadhaa zijazo, Waziri wa maswala ya nda...
ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeen...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment