Wednesday, May 18, 2016
Msanii wa muziki wa Kizazi kipya Amini ‘Amini’ Mwinyimkuu, amesema
hafikirii kama anabaniwa na wadau kwenye Tasnia ya muziki Bongo kama
ambavyo imekuwa ikisemwa mara kwa mara, bali wakati wake wa kupewa
heshima Zaidi bado haujafika.
Akizungumza kupitia kipindi cha Jam Session cha Metro Fm ijumaa
iliyopita, Amini amedai kila kitu ni wakati na subira katika kila kitu
unachofanya.
“Mwaka 2013 nilifanikiwa kupata tuzo basi unaambiwa wasanii wote
walishangilia na kupanda juu ya meza, nafikiri muda wangu bado kila kitu
kinahitaji subira, ipo siku tu ntatoa wimbo ambao Dunia nzima itaelewa
nini nafanya” Alisema.
Katika Hatua nyingine Amini ameweka bayana kuwa haamini kama
mwanamuziki ukioa ndio Tiketi ya kupotea kwenye muziki kama wengi
wanavyodai.
Related Posts
Donny Roberty Mshindi Miss Mwanza 2016 Tazama Picha hapa chini.
Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,20...
Malaika: Tayari kuna watu kutoka Norway wanataka kunisimamia.
Msanii wa Kike wa Bongo Flava, Malaika, amesema kwa sasa hana uon...
Dudu Baya 'Sina Imani na wasanii waliopo chini ya label za Bongo'
Normal 0 false false false EN-U...
Belle 9: Lebo ya Vitamin Music bado haijaanza kusajili wasanii.
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Belle 9, amefunguka na kudai kuw...
Rich Mavoko kaingia WCB, vipi kuhusu bifu la kulogana na Diamond.
Msanii wa muziki Bongo, Rich Mavoko amesema aliamua kuungana n...
Faiza Ally: Sipo tayari kurudiana na ‘Sugu’ ila akihitaji mtoto mwingine nipo tayari.
Muigizaji na mrembo Bongo, Faiza Ally amesema hayupo tayari ...
Aunt Ezekiel:Ndoto yangu ni kuwa na watoto watatu.
Msanii wa filamu za Bongo Movies Aunt Ezekiel amesema anatamani ...
Chukua Time kutizama Video Mpya ya Korede Bello – One & Only Hapa.
Msanii kutoka Nigeria Korede Bello kutoka Record Lebo ya Mavin R...
Aliyevunja tamasha la T.I kwa kusababisha mauaji amekamatwa na polisi.
Baada ya kuvunjika kwa tamasha la T.I, Mei 25 kwenye...
UKO TAYARI KWA UJIO WA ALBAM YA MKE NA MUME,SUPRISE VERY SOON!!
KUMEKUA na maneno mengi mtaani kwamba baada ya albam ya Beyonce ...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment