728x90 AdSpace

Wednesday, May 25, 2016

WENGER AANZA USAJILI MAPEMAAA, AMNASA XHAKA KWA PAUNI MILIONI 35.

 
Safari hii anaonyesha amepania kufanya kweli baada ya Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kuanza usajili.

Wenger amemnasa mchezaji Granit Xhaka R aia wa Switzerland ambaye anajiunga na Arsenal kwa kitita cha pauni million 35.
 
 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: WENGER AANZA USAJILI MAPEMAAA, AMNASA XHAKA KWA PAUNI MILIONI 35. Rating: 5 Reviewed By: Unknown