728x90 AdSpace

Friday, May 13, 2016

Mtoto wa Michael Jackson ameanza kufuata nyayo za baba yake.


Hatimaye mtoto wa Michael Jackson, Pris Jackson (18) ameanza kufuata nyayo za baba yake kwa kuanza kutoboa ulimi. Paris amepost picha inayomuonyesha akiwa ametoboa ulimi na kuweka kipini na kuandika: “almost like ring-toss. but with noodles and needles.”

Miaka kadhaa nyuma kabla ya kufariki, Michael Jackson aliwahi kubadili muonekano wake wa ngozi na kuzua maswali mengi kwa mashabiki duniani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Mtoto wa Michael Jackson ameanza kufuata nyayo za baba yake. Rating: 5 Reviewed By: Unknown