728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, May 20, 2016

    BreakingNEWS: Rais Magufuli amefuta uteuzi wa waziri Kitwanga.


    May 20 2016 habari zilizoingia katika headlines ni maamuzi ya Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kuamua kutengua uteuzi wa wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.

    Rais Magufuli amemfuta waziri Kitwanga kutokana na waziri huyo kuingia Bungeni kujibu swali linalohusu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BreakingNEWS: Rais Magufuli amefuta uteuzi wa waziri Kitwanga. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top