728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, May 21, 2016

    IMETHIBITISHWA; ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DSM WILLISON KABWE AMEFARIKI DUNIA




    Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam , Willson Kabwe Afariki Dunia Ni yule aliyetumbuliwa na Raisi

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe ambaye April 19 mwaka huu alisimamishwa kazi na Rais Magufuli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

    Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita na zinakuja baada ya takribani siku 31 baada ya kutumbuliwa na Mh Rais magufuli.

    Kabwe amefikwa na mauti akiwa nchini India kwa matibabu. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu. Amina
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: IMETHIBITISHWA; ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DSM WILLISON KABWE AMEFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top