728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, May 27, 2016

    Aliyevunja tamasha la T.I kwa kusababisha mauaji amekamatwa na polisi.



    Baada ya kuvunjika kwa tamasha la T.I, Mei 25 kwenye ukumbi wa Irving Plaza, New York baada mtu mmoja kufyatua risasi na kusababisha mauaji ya mtu mmoja [Ronald MC Phatter.] na kujeruhi watu watatu, polisi wamemkamata mtuhumiwa wa tukio hilo. 

    Mtuhumiwa huyo ambaye ni rapper wa Marekani anayejulikana kama Troy Ave, anatuhumiwa kwa kufanya tukio hilo la mauaji na kujeruhi kutokana na kamera zilizopo kwenye ukumbi.

    Troy Ave, mtuhumiwa wa mauaji


    Kutokana na tukio hilo lililotokea rapper T.I amepost Instagram kwa kuandika: My heart is heavy today. Our music is intended to save lives, like it has mine and many others. My heartfelt condolences to the family that suffered the loss & my prayers are with all those injured. Respectfully, Tip.”
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Aliyevunja tamasha la T.I kwa kusababisha mauaji amekamatwa na polisi. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top