728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, May 12, 2016

    WAKALI WATANO WA KUKUMBUKWA KWA UTOAJI WA PASI ZA MWISHO LIGI KUU ENGLAND.


    Mchezo wa mpira wa miguu kwa sasa duniani  umeleta obsession kubwa pamoja na takwimu, ili kutathmini vizuri mchezo huu leo ndugu msomaji Tumia muda wako  kujua kuhusu  wakali watano katika ligi ya Uingereza ambao watakumbukwa kwa utoaji wa pasi za mwisho.

    Hapa tunaangalia wakali 5 wa muda wote katika historia ya Ligi Kuu England kwa utoaji wa pasi za mwisho Yani Assist.

    5. Dennis Bergkamp – 94 assists.


    Mholanzi ambaye anashika nafasi ya 5  kwani ameweza kutoa  pasi za mwisho  zaidi ya 94 misimu 11  kipindi akicheza katika klabu ya Arsenal, kuanzia mwaka 1995 hadi 2006. Na sasa ni meneja msaidizi katika klabu ya Ajaxna atakumbukwa kama  mshambuliaji bora kuwahi kutokea katikakipindi akicheza soka. 

    4. Wayne Rooney – 95 assists.

    Licha ya Kucheza katika klabu hizo mbili za Everton na Manchester United, nahodha wa England na Manchester United  ametoa assists 95 zaidi ya misimu 14 .

    3. Cesc Fabregas – 95 assists.

    Mhispania huyo alicheza misimu miwili katika Ligi Kuu , kimsingi alicheza chini ya kocha Arsene Wenger tangu mwaka 2003 alipojiunga na klabu hiyo akitokea Barcelona La Masia lakini alijiunga na klabu yake ya zamani mwaka 2011.assists ambazo amezalisha Cesc ni 95 katika klabu zote mbili na anapewa nafasi kubwa kuendelea kufanya vizuri zaidi kwa uwepo wake katika klabu ya chelsea.

    2. Frank Lampard – 102 assists

    Mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza Frank Lampard alicheza katika vilabu  vianne katika Ligi Kuu ya Uingereza , ikiwa ni pamoja West Ham United , Swansea City kwa mkopo kutoka Sunderland , Chelsea na hatimaye Manchester City kwa mkopo pamoja na New York City.

    Mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa England ameweza kutoa assists 102 katika Premier League.

    1. Ryan Giggs – 162 assists.

    Giggs  mtaalamu mkataba wake wa kwanza na Manchester United ulikuwa tarehe 29 Novemba 1990, katika  siku yake ya kuzaliwa W alikubaliwa kusaini mkataba na akawa mchezaji wa Man U mtaalamu siku mbili baadaye.


    Yeye ni mmoja wa wachezaji wengi decorated katika ulimwengu wa soka. Licha ya kuwa alistaafu soka kama mchezaji, legend na akiwa na assists 192 na ndiyo mkali anayeongoza  juu ya utoaji wa pasi za mwishona atakumbukwa wakati wote katika historia ya Ligi Kuu England .

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WAKALI WATANO WA KUKUMBUKWA KWA UTOAJI WA PASI ZA MWISHO LIGI KUU ENGLAND. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top