728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, May 15, 2016

    Ulikosa; Fahamu sababu ya mchezo wa Man Utd Vs Bournemouth Kuhailishwa(VIDEO).



    Mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Uingereza baina ya Manchester United na Bournemouth umehairishwa kufuatia kubainika kwa kifurushi kinachotiliwa shaka katika dimba la Old Trafford.

    Mashabiki katika majukwaa mawili ya Sir Alex Ferguson na Stretford End, waliondolewa kabla ya kuanza kwa mchezo huo na mbwa wa kunusu milipuko waliletwa ili kusaidia kubaini kifurushi hicho.

    Awali nchezo huo ulicheleweshwa kuanza na kisha muda mfupi baadae mechi hiyo ilihairishwa kabisa kufuatia ushauri uliotolewa na polisi. Maafisa usalama walisimamia zoezi la mashabiki kutoka nje ya uwanja.

    Tazama wachambuzi wa soka walivyokuwa nje wakifanya uchambuzi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Ulikosa; Fahamu sababu ya mchezo wa Man Utd Vs Bournemouth Kuhailishwa(VIDEO). Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top