728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, May 20, 2016

    HII NI KAULI YA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA KUHUSU JEMBEKA FESTIVAL.




    Mkurugenzi wa Jembe Media Group, Dr.Sebastian Ndege, (kushoto) akiwa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani kumkaribisha katika Tamasha kubwa la Jembeka Festival 2016 linalotarajiwa kufanyika Jumamosi Mei 21,2016 katika Uwanja wa CCM Kirumba.
    Kamanda Msangi amewahakikishia usalama wa kutosha wakazi wa Jiji la Mwanza na watakaotoka nje ya Jiji la Mwanza katika tamasha hilo ambalo wasanii mbalimbali wanakiki watadondosha burudani babukubwa huku kubwa zaidi wakiwa ni Neyo kutoka Marekani pamoja na Diamond Platnumz kutoka Dar.

    Dr.Ndege amemshukuru Kamanda Msangi kwa ushirikiano wake ambapo ameahidi kuhakikisha jamii inapata elimu juu ya usalama na utii wa sheria kupitia vyombo vyake vya habari ikiwemo Jembe Fm.

    Katika tamasha hilo ambalo litafanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza, viingilio itakuwa ni Shilingi 10,000, 50,000 na 100,000 hivyo huu ni muda wa kununua tiketi mapema mwana wa kwetu.

    Imepewa nguvu na Vodacom Tanzania! Vodacom Kazi ni Kwako. Special Thanks FastJet, EF Outdoor, Mwananchi Communications,Samsung, Ndege Insurance, Syscorp Corporation, KK Security, JembeFm-JembeniJembe, Gsengo Blog, Binagi Blog, Michuzi Blog, Dj Choka, Lakairo Hotel na wadau wengine.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HII NI KAULI YA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA KUHUSU JEMBEKA FESTIVAL. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top