728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, May 29, 2016

    KAULI YA RONALDO BAADA YA USHINDI WA JANA DHIDI YA ATLETICO (VIDEO)




    Cristiano Ronaldo amekuwa shujaa jana San Siro akiipa Real Madrid taji la 11 la UEFA Champions League/European Cup.

    Ronaldo ambaye jana hakuwa katika kiwango bora pengine labda kutokana na kutokuwa fiti kwa asilimia 100, alifunga penati ya mwisho ambayo ndiyo iliipa ndoo hiyo Real baada ya Juanfran wa Atletico kukosa.
    “Penalties ni bahati nasibu”

    Ronaldo alikiri kwamba “penati ni bahati nasibu ” na upande ambao ulikuwa na uzoefu zaidi ndiyo uliostahili kushinda hivyo kutokana na uchanga wa Atletico Madrid kwenye michuano hii, Real Madrid walistahili kushinda".

    Tazama Video Hapa chini;

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KAULI YA RONALDO BAADA YA USHINDI WA JANA DHIDI YA ATLETICO (VIDEO) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top