728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, May 25, 2016

    SABABU 3 ZA KUWA MAKINI NA MTANDAO WA KIJAMII WA FACEBOOK .


     
    Hizi ni sababu 3 za kuwa makini na hii mitandao ya kijamii.

    1.Inaweza kukugharimu kazi yako.
    Facebook sio binafsi.Waajiri wana uwezo mzuri wa kuwapeleleza wasifu wa waajiriwa wao kupitia facebook.Unaweza kuona ni vizuri kusafisha profile lako kabla ya kuanza kazi, ila kaa ukijua kuna website ambazo zinadukua nakala zako na kuzihifadhi milele

    2.Wanaweza kuuza habari zako. 
    Katika biashara zao kama Google wanaweza kukusanya taarifa zako binafsi na kuziuza kwa mtu mwingine.Jinsi wanavyozidi kuzipata habari zako binafsi ndio jinsi wanavyoweza kupata fedha nyingi zaidi.

    3.Wanauwezo wa kukuibia.
    Kama wewe ni msanii,usiweke matendo yako ya ubunifu wa juu Facebook.

    Kiukweli uwe makini na Facebook.Inavutia na ni raha na ina manufaa kushiriki habari na Facebook,ila sio habari tu, hata taarifa zako binafsi zinadukuliwa.

    Kama haya yote yanatokea ukitumia hii mitandao ya kijamii, hatua muhimu za kuchukua ni;
     
    1.Ukitumiwa meseji na ikaingia kwenye spammer, tafadhali usiijibu hiyo meseji hata kama inavutia
    kiasi gani.

    2.Kuwa makini na zile sites zinazo-offer reward or prize

    3.Usieleze habari zako kwa mtu usiyemjua katika mitandao
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SABABU 3 ZA KUWA MAKINI NA MTANDAO WA KIJAMII WA FACEBOOK . Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top