728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, May 22, 2016

    JUMA ABDUL AMETANGAZWA KUWA MCHEZAJI BORA MWEZI APRIL VPL TANZANIA.

    BEKI wa kulia, Juma Abdul Jaffar Mnyamani amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa mwezi Aprili, 2016 baada ya kuwashinda kwa kura mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma anayecheza naye Yanga SC ya Dar es Salaam na kiungo Hassan Dilunga wa JKT Ruvu ya Pwani.
     
    Abdul atazawadiwa fedha Sh. 1,000,000 (milioni moja) na wadhamini wa Ligi hiyo, Kampuni ya mahiri ya simu za mkononi ya Vodacom.

    - See more at: http://www.barakampenja.com/2016/05/juma-abdul-mchezaji-bora-mwezi-april-vpl.html#sthash.pyQs2NsB.51nZnvQE.dpuf

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JUMA ABDUL AMETANGAZWA KUWA MCHEZAJI BORA MWEZI APRIL VPL TANZANIA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top