728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, May 18, 2016

    Huu ugomvi kati ya Shilole na Vanessa Mdee nini Chanzo? tazama walivyoshutumiana Hapa(video).


    Mastaa wawili wakike wa muziki Bongo Zuwena ‘Shilole’ Mohamed na Vanessa Mdee, wametupiana madongo kwenye mtandao wa Instagram.

    Chanzo cha Bifu yao bado hakijafahamika ila katika post aliyoiweka Vanessa yenye picha ya Shilole ambayo aliifuta baada ya muda amedai kuwa msanii mwenzie huyo wa Igunga ameanza kumchokonoa na akae akijua yeye si levo yake.

    Shilole nae amepost kwenye Ukurasa wake Instagram akidai Vanessa anaongea Kingereza cha Maghorofani (Chakuungaunga) hivyo ambabaishi kwa lolote.

    Bado haijafahamika kama hii ni kiki tu ama kunamtafaruku unaofukuta kati yao.

    Tazama video hapa chini.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Huu ugomvi kati ya Shilole na Vanessa Mdee nini Chanzo? tazama walivyoshutumiana Hapa(video). Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top